House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







KODI 250,000X6 INAPANGISHWA KIMARA MWISHO
Ipo umbal km 2 safir Bajaji tax haic ,na ukishuka dk 1 umeingia
Muundo
#chumba master kubwa
#sebule kubwa
#Jiko lakisa linamakabat, chin na juu,
#Public toilet njee,
#umeme inajitegemea maji dawasa yantoka ndani
#Nyumba ipo ndani fens ya waya usalama niwakutosha, parking ipo
#Service charge 15 elf
#0785889413๐ฅ๐ฅ ,
Contact