House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA KABISA ZA KISASA ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER IMEBAKI MOJA TU DK13 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BODA BUKU BARABARA SAFI YA ZEGE GARI LOLOTE LINA FIKA VIZURI TU.
------
Chumba master
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa lina wekwa makabati
Public toilet njee
Full air condition
Heater ya maji moto maji baridi
Electronic fence
Tiles
Gypsum
Maji yana flow
Ndani ya fence
Paving block
Parking space kubwa sana
-------
Service charge 20,000/=
Kodi 330,000/=×6
--------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3.3
---------
Contact
#0676_218580 (WhatsApp)
#0693_673010
#dalali_big_goba_mbezi_beach🇹🇿🍾