House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA
APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1
USAFIRI NI BODABODA UPO MUDA WOTE
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#PUBLIC TOILET IPO KWA NJE
#JIKO KUBWA SANA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 250,000/= X 6
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
NJIA YA GARI SIO RAFIKI KWA MAGARI YA CHINI CHINI NDUGU MTEJA
0716 776247
0754 221168