House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO NNE KWENYE COMPAUND MOJA INAKUWA WAZI JIONI YA LEO KODI 150,000X6
LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI DAKIKA 6-7 KUTEMBEA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
MASTER BED ROOM KUBWA
(CHUMBA CHENYE CHOO NDANI)
LUKU 2 KUNA SUBMITER
MAJI DAWASA NDANI
TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI ILA HAKUNA PARKING
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347