House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO LA OPEN KITCHEN FULL MAKABATI
KODI 180,000X6
INAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 10/8/2025
ILA KUONA NA KULIPIA LUKSA
IPO KIMARA STOP OVER
UMBALI KM 1 BODA 1000
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO NA YANA TILILIKA NDANI
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347