House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


NEW NEW APARTMENT FOR RENT##KIMARA MWISHO. 
•••••••••••••••••••••••••••••••••••
NYUMBA MPYA NZURI ZA KISASA ZINAPANGISHWA ZIPO KIMARA MWISHO UMBALI WA KM 1.5  KUTOKA MOROGORO ROAD. 
ZIPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI MWISHO NJIA IENDAYO KIMARA BONYOKWA. 
HIZI APARTMENT ZIPO  ATUA YA MWISHO KUMALIZIKA RUKSA KUONA NA KULIPIA 
ZIPO APARTMENT ZA AINA MBILI NA BEI TOFAUTI =
GHOROFA = KODI NI  500,000 
ZA CHINI = KODI NI  400,000 /=
SIFA ZAKE =
VYUMBA  2 VYA KULALA VYOTE MASTER 
SEBULE KUBWA 
JIKO ZURI KUBWA 
TAILS 
GYPSUM 
SLIDE WINDOW 
UMEME LUKU INAJITEGEMEA 
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI. 
••••••••••••••••••••
NOTE =
HIZI APARTMENT ZIPO 8 KWENYE COMPAUND MOJA NA ZINA NAFASI YA KUTOSHA HAZIJABANANA NA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME PAMOJA NA MAJI 
ZITAKUWA TAYARI KWA KUHAMIA  TAREHE  01 /4 / 2024 RUKSA KUONA NA KULIPIA KWA MPANGAJI AMBAYE HANA HARAKA.
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MWEZI PINDI ULIPIAPO NYUMBA 
ZIPO APARTMENT ZA BEI TOFAUTI  GHOROFA  LAKI 500,000  NA ZA CHINI KODI NI LAKI  400,000 /=
••••••••••••••••••••
FINISHING YAKE = FULL PAVING BLOCK ZINAWE, MADIRISHA ALUMINUM, REZEV SIMTANK, PARKING SPACE KUBWA YA KUTOSHA. 
0655256419




















