House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA
Location. KIMARA SUKA
#200๐ช
====
Vyumba Viwili vya kulala
Kimoja master
Sebule wastani
Choo cha wageni nje
Sehemu ya jiko
Ndani ya fence
Gari mpaka getini Safi kabisaa
Umeme meter yako
Maji yanaflow bill 2
Umbali KM 1.8
Usafiri ,
bodaboda 1000
Bajaji 700
===
Kodi 200,000 Kwa mwezi ilipwe miezi 6
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
0713320608
0686334182