House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


:
NYUMBA KUBWA STAND ALONE INAPANGISHWA
#LOCATION KIMARA BARUTI DK 8-10 KWA MIGUU
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 4 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#DAINING TABLE
#JIKO KUBWA SANA LENYE MAKABATI
#CHUMBA CHA KUJISOMEA
#PUBLICK TOILET ZIKO 2
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW BUSTANI PAVING BLOCKS NYUMBA IPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA HATA GARI 20 ZINALALA
#INAJITEGEMEA UMEME MAJI
#BEI NI 600,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
0716 776247