House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APATIMENTI KALI SANA MPYAA KABISA. INAPANGISHWA
BEI 200X4
AU
BEI 180X6
IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI KM 1,5
PKPK 1000/=
===
SIFA ZA NYUMBA
CHUMBA SEBULE CHOO NDANI CHA PABLIC NA JIKO
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
===
KODI 200,000/=X4
AU
BEI 180X6
KUONA NYUMBA 15000/=
DALALI. 200,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA