House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


:
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: KIMARA MWISHO
#Umbali wa Kutembea kwa Mguu Dakika 12 - 14 Kutoka Main Road Stand ya Mwendokasi Barabara ni Nzuri kwa Kila Gari
๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐
============
โข Sebule Kubwa & Dining
โข Vyumba VITATU Vya Kulala na Kimoja Wapo Master Bedroom
โข Jiko Kubwa
โข Public Toilet ya Wageni
โข Heater za Maji
Apartment zipo 2 ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment Umeme LUKU Inajitegemea na Maji DAWASA yanaflow ndani Chooni na Jikoni.
#๐๐ค๐๐ ๐ ๐ฌ๐ ๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ Tsh. 600,000/- Malipo Miezi 6
#๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
๐ฟ๐๐ก๐๐ก๐ ๐๐๐ช๐ฃ๐๐ค
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp