House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA KOROGWE DK 15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI INAKUWA WAZI TAR 30.9.2025 KUONA NA KULIPIYA LUKSA
------
Chumba kikubwa
Seble kubwa
Jiko
Luku yako
Public toilet
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa
-------
Service charge 15,000/=
Kodi 250,000/=×6
--------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 2.5
---------
Contact
#0676_218580 (WhatsApp)
#0693_673010
#dalali_big_kimara
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏