House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







MPYA MPYA MPYA KABISA ZINAPANGISHWA KIMARA KOROGWE
UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI KM.2
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BODA ELFU MOJA BAJAJI DALALLDALA SH 5OO
SOMA MAELEZO KWA UMAKINI
( A ) CHUMBA MASTER KUBWA SANA SEEBULE KUBWA MNO YA NA JIKO LAKE KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI
KODI NI TZS 350K X6
( B ) CHUMBA MASTER KUBWA SANA NA JIKO LAKE KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI
KODI NI TZS 200K X6
TYRIES JIPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA FULL PERVING BLOCKS FULL GARDEN
UMEME LUKU YAKO PIA MAJI YANATIRIRIKA NDANI
NYUMBA HII IMESHAKAMILIKA NA HAPA IMEBAKI RANGI TU
UKILIPIA MKATABA UNAANZA TAREHE 20.07.2025
KUJA KUONA NA KULIPIA NI RUKSA
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA
SERVICE CHARGE NI TZ'S 15K
CONT 👇
0713661530_0783661530