House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA INAPANGISHWA HII HAPA
IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE/UBUNGO KIBANGU KM 1.5
BAJAJI 700 PIKPK 1000 MPK GETINI.
SIFA ZAKE NI HIZI HAPA
-CHUMBA MASTER KUBWA
-JIKO KUBWA
-STOO & KICHUMBA
-UMEME WAKE
-MAJI MITER YAKO
-PARKING KUBWA
-FENSI YA WAYA
-USALAM WA KUTOSHA
KODI NI 180,000 ILIPWE MIEZ 5,6
ANGALIZO:INAKUWA WAZI TAREHE 18.5.2025 MPANGAJ KAPATA WAMISHO KIKAZI.
#0754589413
#0785889413 wsp