House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 4
KUTOKA STEND KIMARA MWISHO
KWA WALE AMBAO HAWAPENDI KUTEMBEA SANAA NJOO NAPESA
KUPELEKWA KUONA ELF 20
UKIIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA HII
_____________________
Chumba sebule master bedroom na dnning room na jiko zuri ndani
Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
KODI YA PANGO
________________
kwa mwezi ni laki tatu tuu/=
(300,000)
X 6
CALL
CALL #0625606710🏠wahiii