House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA YA KIBACHELA INAPANGISHWA BEI NI 150,000/= X 3
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER
#SEBULE
#KIBALAZA
#SEHEMU YA KUOSHEA VYOMBO
#HAKUNA JIKO HAPA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#SEHEMU YA KUPAKI GARI IPO
BEI NI 150,000/= X 3
ILIPWE LAKI 1 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 3 NA KUENDELEA
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BODABODA AU BAJAJI
0713320608
0686334182