House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


HAPA KUNA APARTMENT YA 400,000 na YA 500,000 
APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA ZIPO KIMARA MWISHO UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD. 
-----
USAFIRI WA BAJAJI UPO NAULI NI TSH  700 /= ,BODABODA ELFU MOJA MPAKA KWENYE NYUMBA KUTOKA KIMARA MWISHO. 
--------
SIFA ZA NYUMBA =
VYUMBA VIWILI VYA KULALA VYOTE MASTER 
SEBULE KUBWA 
JIKO ( LINAWEKWA MAKABATI )
TAILS 
GYPSUM 
MADIRISHA ALUMINIUM 
UMEME LUKU INAJITEGEMEA 
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI 
ZIPO NDANI YA FENSI PEVING BLOCK PARKING SPACE KUBWA 
--------
HAPA KUNA APARTMENT MBILI TOFAUTI NA BEI TOFAUTI KAMA IFUATAVYO =
a ) APARTMENT ZA CHINI KODI NI LAKI 400,000 /= KWA MWEZI 
b)APARTMENT YA GHOROFANI KODI NI LAKI  500,000 /= KWA MWEZI 
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000/=
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300




















