House for rent at Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 450,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NA ANATAKIWA MTEJA WA KUHAMIA KUANZIA TAREHE 25/06/2024 NDIO ITAKUA WAZI

💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#PAVING
#ZIPO APARTMENT 4 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA

BEI NI 450,000/= X 6

🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA BUCHA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 4 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

APARTMENT HII ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 25/06/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO NA MUDA MZURI WA KUONA HII NYUMBA NI KUANZIA SAA 10 JIONI NA MWISHO NI SAA 12 JIONI

💥 KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

PIGA SIMU

0719969102

0714903124

dalali_kimara_mbezi_kibaha
dalali_kimara_mbezi_kibaha
dalali_kimara_mbezi_kibaha

Similar items by location

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 547,258

50X3 CHUMBA SINGLE (KIMOJA) KIMARA SUKA KODI 50,000X3NI CHUMBA SINGOFULL TAILS GYPSUM HAKUNA FENCEMA...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI DK8 KWA MIGUU KUTOKA LAMI AU UNAWEZA KUPITA KWA MSUGUR DK5 K...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6 🌟APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #VYUM...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

:APARTMENTNZURI ZA KUPANGA#LOCATION KIMARA SUKA DK 10-12 KWA MIGUU KUTOKA MAIN ROAD #SEBULE KUBWA#VY...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

:APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA#LOCATION: KIMARA BARUTI AU UNAWEZA KUPITIA UBUNGO RIVERSIDE ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6 🌟APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #VYUM...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

🔥 STAND ALONE YA FAMILIA KUBWA INAPANGISHWA➖➖➖➖➖📍 Kimara Korogwe🕑 Umbali wa dakika 8–10 kwa miguu...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6 🌟APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #VYUM...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

HIZI APARTMENT ZIPO 5 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI #SEBULE KUBWA#VYUMBA 2 VYA KULA...

Sh. 387,747

#APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA #BEI NI 500,000/= X 6 🌟APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #VY...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

HIZI APARTMENT ZIPO 5 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI #SEBULE KUBWA#VYUMBA 2 VYA KULA...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 320,000

320,000 x6. Call. =========NYUMBA INAPANGISHWA INA JITEGEMEA UMEME NA MAJI IPO KIMARA STOP OVER UMBA...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

🇹🇿Apartment Classic For Rent Zipo 4 Kwenye Fence Location: KIMARA KOROGWE KILUNGULE Distance: KM 1...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

🇹🇿NEW Apartments Classic For RentNmeishusha Bei 500,000 Location: KIMARA TEMBONI Upande Wa Kulia K...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

Apartment Classic For Rent ✨️ Location: KIMARA KOROGWE Distance: KM 1 Kutoka Mwendokasi Usafiri 24Ho...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

CHUMBA MASTER SEBULE YA KISASA NA JIKO FURU CC KAMERA WAYA FENSI NA WIFE ILA ITAKUWA WAZI 20 MWE...