House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO DK5 TU KWA MIGUU KUTOKA LAMI.
CHUMBA MASTER KIKUBWA
SEBLE KUBWA SANA
JIKO KUBWA LA KISASA LA NJEE LAKO MWENYEWE .
PUBLIC TOILET YAKO MWENYEW USHEI NA MTU .
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA SANA
KODI 300,000/=×6
MALIPO YA DALALI YA MWEZI MMOJA TU.
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI