House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APATIMENTI MPYAAA KABISA UNAZINDUA MWENYEWE
KODI 250,000X3
NI CHUMBA MASTER SEBULE JIKO KUBWA SANA
MAJI YANA FLOW NDANI
UMEME LUKU YAKO
HEATER ZA MAJI VYOON
LOCATION: KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
UMBALI KM 2.5
BAJAJI 700
BODA 1000
UKISHUKA UNAPIGA TEKE GETI
ZIPO KWENYE FINISHING
KUINGIA NI TAREHE 01.9.2025
ILA KUONA NA KULIPIA LUKSA
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA ZINAWEKWA PEVING
SIMU 0659336751 WSP 0786085637