House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







200,000 X6  DAKIKA 4 KWAMIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD 
#KIMARA_TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI 
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KODI 200,000 x6
#CHUMBA MASTER
#SEBULE 
#JIKO 
MAJI NDANI
KIMARA TEMBONI 
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI DAKIKA 4
.NYUMBA IPO NDANI YA  FENSI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE ELF 15
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
INAFAULISHWA
CONTACT US:-
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI




















