House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


:
APARTMENT MPYA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#GARDEN
BEI NI 300,000/= X 6
๐๐ ZITAKUA TAYARI KUHAMIA KUANZIA TAREHE 25/05/2024 SASA HIVI RUKSA KUZIONA NA KUFANYA MALIPO YOTE YA MIEZI 6 + NA PESA YA TAHADHARI SHILINGI LAKI 3
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0716 776247
0754 221168