House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO 3 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER
#JIKO ZURI LA NJE
#CHOO CHA WAGENI NJE
#LUKU 2 SUBMITER
MAJI DAWASA NDANI
TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
LOCATION KIMARA KOROGWE DK 7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
BEI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
NOTE ATAKIWI MTU MWENYE FAMILIA
0715949085



















