House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(300,000X6)KIMARA TEMBONI DAKIKA 10-12 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
——
#APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 20/04/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA VIWILI 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#PARKING
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 300,000/=×6
ILIPWE LAKI 3 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 12 TUU KWA MIGUU NA NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
💥 ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 20/04/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO NA MALIPO YANAPOKELEWA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453
Napatikana muda wote karibuni sana wateja