House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO
INA PANGISHWA KIMARA SUKA
KODI 170,000X6
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANA FLOW NDANI
IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
UMBALI KM 1.2
BODA 1000
INAKUWA WAZI TAREHE 1/8/2025
KUONA NA KULIPIA LUKSA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI