House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI SANA ZINA PANGISHWA
KODI 250,000X6
MPYAA KABISA HAIJAWAHI KUKALIWA
LOCATION: KIMARA SUKA
CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO LA KISASA NA PUBLIC TOILET YA NNJE
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANA TILILIKA NDANI
UMBALI NI DAKIKA 7 TU
KUTEMBEA KWA MIGUU
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.20.000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
0713661530_0783661530



















