House for rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam


(200,000X6) KINYEREZI SONGAS
:➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 200k
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KINYEREZI SONGAS
Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika Chache Kutoka Kwenye Barabara ya Lami
𝙎𝙞𝙛𝙖 𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule Kubwa
• Chumba Kimoja Cha Kulala Master Bedroom
• Jiko Zuri
• Public Toilet ya Wageni
• AC
Apartment zipo 5 ndani ya Fensi Ila Gari Halilali Ndani na kila Apartment Umeme LUKU Inajitegemea na Maji DAWASA yanaflow ndani Chooni na Jikoni.
𝙆𝙤𝙙𝙞 𝙠𝙬𝙖 𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 200,000/- Malipo Miezi 6 #Maongezi_Yapo
𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 15,000 tu
CONTACT US:-
0716223412
0683597453