House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam







Nyumba inapangishwa Kinyerezi Sheli Ya Esther.
- Master
- Sebule
- Jiko
- Maji 24/7
- Luku yako
- Maji tank lako
- Boda 1000/= mbaka nyumbani
Kodi 120,000/= anapokea kwanzia miezi mitatu.
Kupelekwa 20,000/= itadumu mbaka utakapo pata nyumba.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.