House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam







#APARTMENTS MPYA
MALIPO MIEZI 6 TU!
--------------------------------
πMahali: KINYEREZI -MWANZO MGUMU(DSM)πΉπΏ
UNAWEZA KUPITIA MBEZI MWISHO NJIA YA MALAMBA
Umbali:1.3.Km BAJAJI 700 kutoka KINYEREZI mwisho
Au Mwanzo.mgumu bajaji 500,boda 1000
Pia boda 1500-2000 kutoka KINYEREZI mwisho stendi
__________________________
MUUNDO
βοΈChumba Master
βοΈSebule Kubwa
βοΈChoo Cha wageni nje(Public toilet π½)
βοΈ Jiko
βοΈMazingira Mazuri .
βοΈFeni Ya Juu
βοΈPaving block
_______________________________________
HUDUMA
βοΈMaji (yapo dawasa)#Bill
Na kisima pia, motor ipo
βοΈUmeme _LUKU YAKO
π Ndani Ya Fensi &Parking ipo
N.B IPO WAZI NI YA KUHAMIA TU, ya chiniiii
βββββββββββββββ
KODI; 120,000\/=TZS. Kwa mwezi
Malipo ni miezi 6+ mwezi 1 wa dalali
_________________________
Contact π²
0713661530_0783661530