House for rent at Kisima, Kilimanjaro


NYUMBA INAPANGISHWA (IKO YENYEWE KWENYE FENSI) NI MPYAA.
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA (KIMOJA MASTER), SEBULE, DINING NA JIKO.
MAJI DAWASA NA KISIMA KIPO MAJI MASAA 24.
LOCATION: PUGU KINYAMWEZI.
KODI: 300000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI SITA.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.