House for rent at Mawasiliano, Morogoro


TSHS MIL 1, NYUMBA INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-SALASALA IPTL
UMBALI DK 2 TOKA BARABARA YA LAMI
NYUMBA NZURI YA KISASA
YA FAMILIA KUBWA
INAJITEGEMEA
YENYE NDANI;
Vyumba vi4 vya kulala full AC katiyavyo vi2 ni Master kubwa & ndogo, Dinning, Sebule, Jiko, Stoo & Public Toilet
Gypsum Tiles Slides Windows
Umeme x Maji vyote vipo
NJE INA; Jiko jingine, Chumba cha mlinzi & Public Toilet nyingine
Jaccuzi & Chilling Place
Cars Parking space ipo
Pavingblocks
Fencedhouse
KODI TSHS MIL 1 KWA MWEZI
MALIPO NI MIEZI 6
MAONGEZI YAPO PIA
KWA MAWASILIANO PIGA;
+255 768 914 118
+255 718 936 416