House for rent at Mawasiliano, Morogoro


NYUMBA NZURI SANAAA INAPANGISHWA ๐ฑ
-PEKEAKE KWENYE FENCE
๐MAHALI- MERIWA JIRANI NA LAMI
๐ช MUUNDO
~~Vyumba V4 vya kulalaa (01 MASTER)
~~sebule kubwa
~~Store
~~jiko zuri
~~Public toilet
______________________________
HUDUMA
~~Maji yapo muda wote
~~Umeme upo unajitegemea
~~Parking space kubwa
~~iko ndani ya fence
~~usalama wa kutosha
^^Eneo la bustani
______________________________
๐ฐMALIPO
~Bei ni 500,000 @ mwezi
~Muda wa malipo miez 6+
______________________________
NB; MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA..ATALIPIA MTEJA๐
โ๏ธ MAWASILIANO
+255657122976 call/ wtsp
๐โโ๏ธGharama za kwenda site ni 10,000/=