House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


(360,000X3) MBEZIMWISHO DAKIKA 10 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
 ( A) 250,000 ×3
#CHUMBA MASTER KUBWA 
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI 
# MAJI BUREEE ( YANAFLOW NDANI)
250×3
 
 (B) 360,000 ×3
#VYUMBA VIWILI 2 VYAKULALA
# KIMOJA MASTER KUBWA 
# SEBURE KUBWA 
# JIKO 
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU YA UMEME INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA SANA 
# MAJI BUREEEEE(YANAFLOW NDANI)
BEI NI 360K X 3
NB: PINDI ULIPIAPO NYUMBA MAJI NI BUREEE KABISA NA UNAKUWA UMESHA MLIPA MLINZI NA USAFI,, MTEJA NIKULIPIA UMEME TU NA KODI 
🏘️ APARTMENT HII IPO MBEZI MWISHO, KUTOKA BARABARA YA RAMI DKK 3 KWA MIGUUU
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453




















