House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


250,000
WAHI MAPEMA KABISA HII SI YA KUKOSA IMESHUKA BEI KWA SASA 250,000X6
INA PANGISH MBEZI NJIA YA MPGI MAGOHE
SIFA ZA NYUMBA IPO NDANI YAFESI PARKING KUBWA
INA VYUMBA V2 VYA KULALA VYOTE MASTER
JIKO KUBWA LA KISASA
SEBULE KUBWA SANA
KWENYE COMPOUND ZIPO APARTMENT MBILI TU
NA HII MOJA NDO IPO WAZI
INAJITEGEMEA KWA KILA KITU UMEME NA MAJI DAWASCO YAPO
YANA FLOW NDANI
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 3,5
USAFILI BAJAJI 1000 AU DALADALA 500
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHUGG NI 15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
BARABARA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI
PIGA CM CHAPU UPATE KITU POA KABISA
0679 956 863
0696708032
0759151524