House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU INAJITEGEMEA MAJI DAWASA YPO
#INAPANGISHWA
BEI NI 150,000/= X 6
ILIPWE LAKI MOJA NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI /6
๐๏ธ APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2,5 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
๐ฅKUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA SIMU
0719969102
0714903124