House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







LAKI 3.5 TU--STAND ALONE INAPANGISHWA IPO MBEZI MALAMBA MAWILI DSM,DK 10 KWA MIGUU TOKA LAMI
KODI 350000×6+MWEZI 1 WA DALALI ULIPIAPO NYUMBA
SIFA YA NYUMBA
__VYUMBA 2 KIMOJA MASTER
__SEBULE KUBWA SANA
__JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
__CHOO CHA FAMILIA
__FULL A/C SEBULENI NA CHUMBA CHA MASTER
__MAJI DAWASCO UHAKIKA NA KISIMA CHA MAJI YA MVUA
__KUNA GARDEN NA PARKING KUBWA
KUONA NYUMBA TSH 15000
simu 0659336751 wsp 0786085637