House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NA IPO JIRANI NA BARABARA BEI NI 400,000/=X 6
π₯ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 400,000/=X 6
ILIPWE LAKI 4 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
ποΈ APARTMENT HII IPO MBEZI MWISHO JIRANI KABISA NA STAND KUU YA MABASI (MAGUFULI TERMINAL) KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
NOTE
ELA YA DALALI KODI YA MWEZI, MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SERVICE CHARGE 15000
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU
O627977383