House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA MBEZI BEACH
--------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window.
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa
---------
Service charge 20,000/=
Kodi 500,000/=×6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5
-----------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#dalali_big_goba_mbezi_beach🇹🇿