House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO 3 KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI 
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIKUBWA
#JIKO
#CHOO CHA PABILIKI YA NDANI 
# NAKIBALAZA CHAKO 
UMEME UNAJITEGEMEA 
MAJI DAWASCO BILI YANAFLOW NDANI 
USICHOKIJUWA APO KUNA LISEVU TANK 
# NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI  KASOLO GETI 
#LOCATION MBEZI KWAMSUGURI KM 1 USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI 500  TU
 UKISHUKA DK 2 UPO GETINI PK PK 1000 KUTEMBEA KWA MIGUU DAKIKA 15,20 TU
#BEI NI 150,000, KWA MWEZI MALIPO MIEZI 4,5,6
#0785889413




















