House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







#APARTIMENT INAPANGISHWA(300K X 6)
------------------------------
📌MBEZI MWISHO (Dsm)
Umbali:2.5 Km BOda 1000/= Bajaji 1000/=
_________________________
MUUNDO ÷
✔️ VYumba 02 _ 01 Kimoja Master
✔️Sebule kubwa
✔️Jiko Kubwa
✔️Choo Cha Public ndani
✔️ Mazingira TULIVU Sana
__________
HUDUMA ÷
✔️Maji (yapo Dawasa)
✔️ Reserve Tank Lako
✔️LUKU YAKE
📌 MAZINGIRA TULIVU SANA &NDANI YA FENSI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KODI; 300,000/=TZS. Kwa mwezi
Malipo ni miezi 06 + Mwezi 1 wa dalali
________________________
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 15,000/=
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI