House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


Stand alone Inapangishwa:
Location :: mbezi beach GOIGI CHINI
Bei yake :: 800,000Tsh kwa mwezi (Miezi 6)
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba VItatu (Kimoja Masta)
🌡️Sebule kubwa na daining
🌡️Jiko kubwa sana
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans
🌡️Fence
Kuona 20k
Call/Whatsapp;
0682778500
0756455653