House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI KUBWA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/=Γ6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 15/06/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
π₯ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA VIKUBWA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING ROOM
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PARKING
#MAKABATI YA NGUO VYUMBANI NA VYUMBA VYOTE
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI YAKE NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#KILA APARTMENT INAJITEGEMEA KWA KILA KITU
ποΈ APARTMENT HII IPO MBEZI MWISHO (KWA YUSUPH) UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 TUU KWA MIGUU AU DALADALA SH 500
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
π₯ ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 15/06/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
Contact
#0714335450