House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


:
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
APARTMENT HIZI ZIPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.8 NA USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA UPO MASAA 24
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
HAKUNA PARKING ILA ZIPO NDANI YA FENSI
BEI NI 200,000/= X 3
#PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA TEMBONI NA USAFIRI PIA UPO WA BAJAJI AU BODABODA NA UNAFIKA HADI KWENYE NYUMBA
0716 776247
0754 221168