House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


200,000 x4
——
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA MBEZI KIBANDA CHA MKAA AU KIMARA TEMBONI KOTE UNAWEZA KUFIKA KWENYE NYUMBA
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI (PUBLIC)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 200K X 6
ILIPWE LAKI 2 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 4 TUU
UKIIPENDA NYUMBA HII NDUGU MTEJA UTALIPIA PESA YA UDALALI SHILINGI LAKI 2 BILA KUSAHAU SERVICE CHARGE SHILINGI ELFU 15
APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA AU UNAWEZA KUPITIA KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI SH 500
#SERVICER_CHARGER_15000
0679 956 863
0759151524
0696708032