House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


FULL FURNISHED MASTER BEDROOM FOR RENT- CHUMBA CHOO NA VITU VYAKE INAPANGISHWA MBEZI KWA YUSUPH #150𝖪 × 1 ( Kodi mwezi 1 nakuendelea)
====
Chumba kikubwa na Choo ndani
_ kuna kitanda na godoro
_TV kubwa inch 45
_King'amuzi cha Azam
_Jiko la Gas
_Pazia
===
Kodi 150,000 Kwa mwezi × 1 nakuendelea
===
Umbali dakika 7 Kwa miguu toka Kwa Yusuf stand
====
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
====
0679447338
0753454167