House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


Nyumba hii ni
Chumba choo tuu π
Luku yako pekeyako
Maji mita yako pekeyako
Kod sh 90,000 //
Malipo miezi 6 π
Ilipo njia ya mbezi beach kituo ni sicansca π
Umbali kutoka sitendi ya daladala ni dakika 5 kwamiguu kutembea tuu π
#0716623170