House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







HII SI YAKUJIULIZA WALE WANAO PENDA KUKAA NYUMBA MPYA UNAZINDUA MWENYEWE IYO HAPO 
NJOO WAI CHAPU BEBA PESA USISAHAU PESA YA DALAL YA MWEZI MMOJA 
CHUMBA MASTER KUBWA
SEBULE KUBWA
MAJI DAWASCO YANAFLOW CHOONI 
UMEME UNAJITEGEMEA 
 INAPANGISHWA MBEZI KWAMSUGURI 
===
BAJAJI 700 UKISHUKA KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DAKIKA 3
PK PK 1000
Bei:150,000 X3
===NYUMBA HAIPO NDANI YA FENCE  USALAMA WAKUTOSHA 
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15k
SIMU
+255 684881429
+255 658586449
MSHATI




















