House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


Nyumba hii ni
Chumba sebule choo jiko tuu π
Luku yako pekeyako
Maji mita yako pekeyako
Kod sh laki 2 //π
Malipo miezi 4
Ilipo njia ya mbezi beach kituo ni mubuyuni π
mazigila utulivu sana π
#0716623170