House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APATIMENTI INAPANGISHWA IPO MBEZI MAGUFULI STAND YA MKOA
UMBALI KUTOKA STAND NI KM 1.3 BODA 1000/
======
SIFA ZA NYUMBA
CHUMBA MASTER
NA SEBULE KUBWA SANA
UMEME SUBMETER MAJI DAWASA
IPO NDANI YA FENSI
======
KODI 120,000/= × 3
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300