House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


Nyumba hii ni kubwa sana
Ukubwa ni Vyumba v 3 kulala
Vwili ni masta kubwa sana ujazi vtu kabisa
Sebule ipo kubwa na dannigi ipo kubwa
Jiko kubwa sana
Unakaa pekeyako π
Ilipo njia ya mbezi beach kituo ni afrcana π
Kod sh laki 3 π malipo miezi 6
Unafuga na mifugo safi
Nyumba ya 3 kutoka lami ya mtaa π
Uzunguni utulivu sana
#0716623170