House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA
INAPANGISHWA APARTMENT
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- SALASALA KARIBU NA LAMI
KODI TSHS LAKI 500,000/=KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI 6
APART YA KISASA
KUBWA YA KIFAMILIA
YENYE:-
Vyumba viwili vya kulala, Sebule kubwa SanaMaster Jiko, Choo/Bafu vya ndani public
Gypsum Tiles Slides Windows
Umeme upo wa Luku yake
Maji yapo ya bomba24hrs
Cars Parking Space ipo
pervingblocks
Electronic fensi
0719082300
0692904876
0762652066
Nione
Dalali mbezi bech afirikana